Kushoto Kulia
SW

كلمات Kushoto Kulia

النوعPop
اللغة الأصليةSW
المشاهدات17
Aaإعدادات القراءة
حجم النص 18

الكلمات الأصلية

SW
الترجمة غير متاحة بعد. نعرض الكلمات الأصلية.
Kushoto kulia Kushoto kulia (jeshi) Kushoto kulia Washa tochi ya simu sa tuone mwanga (Konde Boy) Kushoto kulia (iih) Kushoto kulia Kushoto kulia Kapandisha wazimu analicheza vanga KondeBoy for everybody My music dey shake your body Eeh 'cause I do this for my people I wanna hear you sing tala lala Quicando kinanigadi Nafasi naongeza idadi Saluti kwa wanangu wa ghetto Segelea Okonga gwala gwala Wasonipenda kazi wanayo Eeeh kazi wanayo Mie sipigi genga pesa ninayo Eeeh pesa ninayo Tunatia chenga wanafuata nyayo Eeeh wanafuata nyayo Tunapiga denda wanapiga miayo Eeeh wanapiga miayo We kesha kwa waganganga Mwenzako najichanganganga Nazisanya faranganganga Nikipata natumia maduwoteru Ruksa nipanganga Napendaga vicheni vishanganganga Na uturi wa kanganganga Hakikisha unanukia Kushoto kulia Kushoto kulia Kushoto kulia Washa tochi ya simu sa tuone mwanga Kushoto kulia Kushoto kulia Kushoto kulia Kapandisha wazimu analicheza vanga Samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh Samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh I say samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh Samina mina eeh eeh Waka waka eeh eeh Wanaotaka shindana na mimi Hawapati hata sare Usishangae tattoo na vipini Ni makonde chale Peace kwa walonileta mjini Mondi wa Tandale Maneno majungu tupa chini Muziki utawale Kama nyapara kafunguliwa pingu wee Kutwa tunachana mawingu wee Ameshapanga wewe ni nani upangue Unajitesa buree (yii Aga) We kesha kwa waganganga Mwenzako najichanganganga Nazisanya faranganganga Nikipata natumia Kushoto kulia Kushoto kulia Kushoto kulia Washa tochi ya simu sa tuone mwanga Kushoto kulia Kushoto kulia Kushoto kulia Kapandisha wazimu analicheza vanga Bonga, mwambie cheopa Moto hauzimwi na moto wewe Hahaha wakiziba kulia Si tunapita kushoto Hahahaha je mama jin Usicheze na jembe litakulipa My nigga Jose wa mipango Konde gang is for everybody

المزيد من Harmonize

Harmonize →

كلمات ذات صلة