Sare
SW

كلمات Sare

النوعPop
اللغة الأصليةSW
المشاهدات3
Aaإعدادات القراءة
حجم النص 18

الكلمات الأصلية

SW
الترجمة غير متاحة بعد. نعرض الكلمات الأصلية.
Masauti Ooh, Kenyan Boy Baby me na wewe sare (sare) Sare sare (sare) Tunafanana sare (sare) Sare sare (sare) Nakukabidhi moyo wangu Moyo wangu, mama unitunzie Eeh malkia wa penzi langu, fahari yangu Manyaku wasikunyakue Eeh wanijua mwenyewe Mtundu kitandani nielewe Mpaka chumbani sitaki uchelewe Ili tu niwe na wewe Ooh my beiby nishobeze Zidisha penzi hadi nilewe Taratibu basi nikoleze Hadi nikoleee Umenifanya zuzu umenikoroga Nimebana kwako mimi siwezi toka Kabisa nimeganda, nimeganda Hata wakisema umeniroga Kwako kamwe mimi siwezi toka Kabisa nimeganda, nimeganda Baby me na wewe sare (sare) Sare sare (sare) Tunafanana sare (sare) Sare sare Baby me na wewe sare (sare) Sare! Sare! (sare) Tunafanana sare (sare) Sare! Sare! Kila niamkapo sura yako ndio naitazama (aah eeh) Ukicheka shavuni dimple, mtoto sauti kinanda (aah eeh) Nataka na penzi lako kitaani mimi navimbaga (aah eeh) Kwa shepu na kumaku macho podoo, wana hata la kusema ooh Yaani toto la kishua, unavyonizuzua Ndio maana ukinipa mimi sikinaaai (eeh! Sikinai) You bust my medulla, unavyo sasambua Mi nikiwa nawe najidaii (eeh najidai) Umenifanya zuzu umenikoroga Nimebana kwako mimi siwezi toka Kabisa nimeganda, nimeganda Hata wakisema umeniroga Kwako kamwe mimi siwezi toka Kabisa nimeganda, nimeganda Ooh beiby Baby me na wewe sare (sare) Sare sare (sare) Tunafanana sare (sare) Sare sare Baby me na wewe sare (sare) Sare! Sare! (sare) Tunafanana sare (sare) Sare! Sare!

المزيد من Masauti

Masauti →

كلمات ذات صلة