Nipo Nae
SW

كلمات Nipo Nae

النوعPop
اللغة الأصليةSW
المشاهدات33
Aaإعدادات القراءة
حجم النص 18

الكلمات الأصلية

SW
الترجمة غير متاحة بعد. نعرض الكلمات الأصلية.
(Ayolizer) Masikini hana fuba, hana fuba Anazeeka yule mwezangu Haamini anavyochunda anachunda Nimeondoka na nyota yangu Nafsi ilichoka madhira (Ooh madhira) Ya pundazo na fadhila (Ooh fadhila) Nimempata wa njema dhamira (Ooh dhamira) Wa kufunga magoli si wa bila (Ooh wa bila) Mmmh shata shata (Shata) Penzi limetaradadi Sina shaka (Shaka) Inyeshe na ipige radi Rasha rasha (Rasha) Kwetu mambo maji maji Baby washa washa (Washa) Waambie wanaosubiria Bado nipo nipo nae Bado tupo sana tu (Bado nipo nipo nae) Ndo kuanza tunayaanza (Bado nipo nipo nae) Wenyewe tumeshazoeana (Bado nipo nipo nae) Mi bado nipo na yeye Msitufuate, msitufuate Msitufuate, msitufuate Raha, raha mstarehe Sijaomba napewa Nifikishwe nitosheke Raha kila siku sherehe Jamani nanyenyekewe Eti nile nikogеshwe Penzi birika, yake sifai ni kimiminio Ah nimеshikwa, kwenye kichwa mpaka masikio Mambo tartita, ulichosusa hakula mwenzio Mwana Ana sifa, ananipa paja kwa kipapatio Amekupenda mama tulia tulia Tule zetu ni ujana, dunia dunia Mambo ya wanadama, puuzia puuzia Wapasuke bandama, sindano ishawaingia Mmmh shata shata (Shata) Penzi limetaradadi Sina shaka (Shaka) Inyeshe na ipige radi Rasha rasha (Rasha) Kwetu mambo maji maji Baby washa washa (Washa) Waambie wanaosubiria Bado nipo nipo nae Bado tupo sana tu (Bado nipo nipo nae) Ndo kuanza tunayaanza (Bado nipo nipo nae) Wenyewe tumeshazoeana (Bado nipo nipo nae) Mi bado nipo na yeye (Wasafi)

المزيد من Mbosso

Mbosso →

كلمات ذات صلة