Sitamani
SW

كلمات Sitamani

المدة4:04
اللغة الأصليةSW
المشاهدات19
Aaإعدادات القراءة
حجم النص 18

الكلمات الأصلية

SW
الترجمة غير متاحة بعد. نعرض الكلمات الأصلية.
Hallelujah moyo wangu na imani yangu natamani mbinguni Ata nipitapo kwenye magumu natamani mbinguni kwa baba hallelujah Sitamani miji vya huku sitamani heee Natamani mji wa mbinguni Sitamani miji vya huku sitamani heee Natamani mji wa mbinguni Héeeeeeeé Nimesikiya kwamba mbinguni kuna uzima heee wa milele kila siku Mi napenda nikafanye makao hee mbinguni ya milele Ata nipitapo kwenye majiribu nitajitaidi mwisho wake nifike mbinguni Mi sitamani miji vya huku mi sipendi kwasababu Kila siku matatizo, wengeni wanaliya wengeni Wanalalama njaa wengeni hawana kazi mimi sitamani kuishi kwenye dunia Sitamani miji vya huku sitamani heee Natamani mji wa mbinguni Sitamani miji vya huku sitamani heee Natamani mji wa mbinguni Ikanave mwakudoba nindidoba kila liduva kutangadika heee Mala ding'ondo mala malwele, mala maganisha Kushima vanu avanantumbwange nnungu heee Nindidoba kudyanga kuka napata lipuwilo Likamalilika kila wakati kupuwanga Hallelujah wimba pamo na vanjelo kuwa lipuwilo Njini wambi lipuwilo yelusalemu hoo lipuwilo

المزيد من P Nchilima

P Nchilima →

كلمات ذات صلة