Vumilia
SW

كلمات Vumilia

النوعPop
المدة3:57
اللغة الأصليةSW
المشاهدات242
Aaإعدادات القراءة
حجم النص 18

الكلمات الأصلية

SW
الترجمة غير متاحة بعد. نعرض الكلمات الأصلية.
it's bob manecky iyee, iyee iye eh iwe kibatari, ama mwanga wa mshumaa kwenye kigiza cha jioni pika dona ngangari, tulishushie na dagaa ukishatoka sokoni kisha tufunge safari, itayochukua masaa utokwe jasho mgongoni na vile 'na machachari nikikushika kibaha, utamu hadi kinondoni kuna muda nawaza, hivi nitakupa nini? sina mbele sina nyuma masikini chakula shida na tunalala chini, nambie hum! wenye mapesa, vogue na ma-lamborghini wasijefanya ukanipiga chini bado nawaza, hivi nitakupa nini utulie? sambusa, kachori, bamia (aah) tukipata pesa ni sangara mchicha, mtori, bamia (aah) kama tukikosa tunalala kwa hiyo mama usijali, vumilia (iye eh) vumilia (iyee ye) vumilia, kesho tutapata mpenzi iiiih vumilia (vumilia) vumilia (vumilia) vumilia, kesho tutapata mpenzi najua unatamani high waist, make up weaving za dubai na china ule pamba nyepesi, setup cheni ya dhahabu yenye jina oooh basi mama vumilia, nakupigania, mpenzi subiria oooh acha kujiinamia, punguza kulia, atatusaidia eti mapenzi si moyo, mapenzi ni pesa ama kweli masikini yatatutesa uchoyo, usinipe presha naomba unipende kuna muda nawaza, hivi nitakupa nini? sina mbele sina nyuma masikini chakula shida na tunalala chini, nambie eeh hum! wenye mapesa, vogue na ma-lamborghini wasije fanya ukanipiga chini bado nawaza, hivi nitakupa nini utulie eeh? sambusa, kachori, bamia aaah tukipata pesa ni sangara mchicha, mtori, bamia aaah kama tukikosa tunalala kwa hiyo mama usijali, vumilia (iye eh) vumilia (iyee ye) vumilia, kesho tutapata mpenzi iiih vumilia (vumilia) vumilia (vumilia) vumilia, kesho tutapata mpenzi

المزيد من Rayvanny

Rayvanny →

كلمات ذات صلة