Raha
SW

كلمات Raha

النوعPop
اللغة الأصليةSW
المشاهدات7
Aaإعدادات القراءة
حجم النص 18

الكلمات الأصلية

SW
الترجمة غير متاحة بعد. نعرض الكلمات الأصلية.
Aah, aah, aah, aah Aki baby naona mi na wewe kama Adamu na Hawa, ivi tuko sawa sawa Utaniua, ntakwama, mi mwengine sina Kwani unafanyaga vipi ivyo, mbona raha sana Oooh baby ongeza Ongeza maujuzi Nikupeleke kwa Mkweo we wa wapi wewe? Zanzibar au Tanga Unanikolezaa baba kazi ipo Mbona kazi wanayo We ni fundi wewe ukinivunja utanjenga Yani naona raha Naona raha, naona, naona raha Naona raha, naona raha Naona raha Una nipenda mpaka naogopa Naona raha, naona, naona raha Naona raha, naona raha Naona raha Yani naona rahaa Ogopa matapeli Penzi letu tayari linahati miliki Apa mwisho wa reli Nimeshapatikana sitikisiki Wanafki washa feri Watarusha madongo, wala hayatufiki Mi na we ndo movie Waje watizame wawe mashabiki Usije ponzwa na ujana Babe bado mapema Ng’ang’ana na mimi, darling Na moyo umetulizana We changu, chanda chema Nyundo na msumali Ooh baby ongeza Ongeza maujuzi Nikupeleke kwa Mkweo we wa wapi wewe? Zanzibar au Tanga Unanikolezaa baba kazi ipo Mbona kazi wanayo We ni fundi wewe ukinivunja utanjenga Yani naona raha Naona raha, naona, naona raha Naona raha, naona raha Naona raha Una nipenda mpaka naogopa Naona raha, naona, naona raha Naona raha, naona raha Naona raha Yani naona rahaa

المزيد من Yammi

Yammi →

كلمات ذات صلة