Yeye
SW

Yeye লিরিক্স

ধরনPop
মূল ভাষাSW
ভিউ17
Aaপাঠ সেটিং
টেক্সট সাইজ 18

মূল লিরিক্স

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
Yeye, yeye, yeye, yeye Yeye, yeye Yeye, yeye, yeye, yeye Yeye, yeye The way that you move unanitesa vibaya Kizungu zungu ndege umenikata bawa Nachoka kabisa kwa unavovifanya wowo woo Chochote usemacho mwenzako mi sawa (mi sawa) Kitu gani we nikupe Muda wote unikumbuke Sio kesho unitupe Kuharibu nijifiche Uzuri wako baby we fire Ukiniacha nitadata nitakuwa vibaya Yeye, yeye, yeye, yeye Yeye, yeye Yeye, yeye, yeye, yeye Yeye, yeye Wamepita wengi sikatai Mama umenikoleza Unavyonipa sikinai ye ye ye Nilipo upo nafurahi We ndo unanipendeza Wengine wote hawanifai yeye Mi nadhani Kifo ndo kitanitenganisha nawe Usiniadhibu mama Taratibu mama, yeah, yeah Uzuri wako baby we fire Ukiniacha nitadata nitakuwa vibaya Yeye, yeye, yeye, yeye Yeye, yeye Yeye, yeye, yeye, yeye Yeye, yeye

Jux এর আরও গান

Jux →

সম্পর্কিত লিরিক্স