Wanaweweseka
SW

Songtext von Wanaweweseka

GenrePop
OriginalspracheSW
Aufrufe11
AaLeseeinstellungen
Textgröße 18

Originaltext

SW
Noch keine Übersetzung verfügbar. Der Originaltext wird angezeigt.
Wanaweweseka Wanaweweseka Wenyu uwivu wasijinyonge Ila wapigwe shoti wafee Kingasti wangu yuko hapa Usinishike bega niache Nakupa yote mumunya Tamu wa pipi mate Baby kwa mapenzi huko chuo Hauko tena Kindergarten Marashi yake ma Amechanganya na tangau Mtoto kama Saida Karoli Anavyo chambua karanga Na simuwachi nampenda Ya pete mi chanda L-O-V-E (I love you) Kama kasimu muganga Pressure inapanda, pressure inashuka Wanaovimba watapasuka Niki kuposti namba insta pata chafuka Watatamani kuhack waje kufuta Ooh lelele Wanaweweseka Nimekupa bundle watuperuzi Wanaweweseka Mama nipe mambo tuwauthii Wanaweweseka Basi cheka cheka uki deka deka mami Wanaweweseka Baby eeh, tausi maingona Teke eeh umbo kifusi, nyuma kishinoni Nikubebe eeh na wenye chuki wakate shingoni Sitakilete eeh kina bunduki, na wanandalido Udongo gani, unaokufinyanga mali weh Mganga gani alopiga manyanga mali weh Majungu simutachi ayaya, maneno sio radi ayaya Jasho lina watoka maji (I love you daddy) Marashi yake ma Amechanganya na tangau Mtoto kama Saida Karoli Anavyo chambua karanga Na simuwachi nampenda Ya pete mi chanda L-O-V-E (I love you) Kama kasimu muganga Pressure inapanda, pressure inashuka Wanaovimba watapasuka Niki kuposti namba insta pata chafuka Watatamani kuhack waje kufuta Ooh lelele Wanaweweseka Nimekupa bundle watuperuzi Wanaweweseka Mama nipe mambo tuwauthii Wanaweweseka Basi cheka cheka uki deka deka mami Wanaweweseka

Mehr von Rayvanny

Rayvanny →

Ähnliche Songtexte