Number One
SW

Letra de Number One

GéneroHip Hop Rap
Duración2:57
Idioma originalSW
Vistas295
AaLectura
Tamaño 18

Letra original

SW
La traducción todavía no está disponible. Mostramos la letra original.
Kwanza mapenzi safari ujana ni Maji ya moto walinenaga zamani Pili tumetoka mbali kwa matatizo Changamoto tuvisa visa fulani Oooh tatu kidonda chako kwangu Maradhii Moyoni usononekapo kwangu Simanziii Kwa mahaba ulionipa nimenogewa Vurugu patashika ahh punguza Kidogoo Na mengine kadhalikaa mtoto Si unanielewaa Apo apo uliposhika ukiongeza Kidogooo mmmh mwenzako ntaumiaa You are my number 1 My sweety sweety number 1 My baby oooh you are my number 1 My darling, my number 1 Oooh roho yangu mama, my number 1 Na nina wivu sikatai maana uchungu wa mapenzi naujuaaa So usije kunilaghai ukaacha kuzama ukanizingua Na nina wivu sikatai maana uchungu wa mapenzi naujua So usije kunilaghai mwenizio Naogopaaaa Now show me how they do Gololoooo aah golloolo aah gololosa Oooh baby show me how you do gololo My sweety sweety my number 1 My baby ooh you are my number 1 Ooh darling you are my number 1 Ooooh roho yangu mamaaa Ahhh oooooh ooooh baby You are, oooh baby your are Now show me how they do Ngololo ahh ngololoo ach ngololosa Aghhhha aikoloo Na watuache tulale

Más de Diamond Platnumz

Diamond Platnumz →

Letras relacionadas