Fanya
SW

Letra de Fanya

GéneroPop
Idioma originalSW
Vistas10
AaLectura
Tamaño 18

Letra original

SW
La traducción todavía no está disponible. Mostramos la letra original.
Rapapapapampapapampapam Ayagayaw Willy Paul Willy Poze Willy Paul Willy Poze Willy Paul Willy Poze rra Mabinti walinichanganya, cha Nairobi mpaka Mombasa, cha Kayole mpaka Dandora, cha Mathare mpaka Huruma, cha Ghetto mpaka tribeka, ni kweli mimi awillie Nilikuanga mzirire, walinitesa mabintire Hivi leo nimerudi-ee, ai, kwa mwenyeziree anisamehe Jalali nimekumissi sanaa Kukupenda ndio nataka kufanya Fafa fanya fafa fanya Fafa fanya fafa fanya Fafa fanya fafa fanya Fafa fanya fafa fanya Wollitup mic check one, two, si mnafahamu yule daudi-re Alitenda madhambi eeh, lakini mungu ee alimpenda eeh Tunajua huyu daudi-ee alikwendaa-re akapotea Leo leo narudi kwa papa Nikikweli eeh mimi awille, nilikuanga Ni kweli mimi ah willie Nilikuanga mziririe Walinitisha mabintire Hivi leo nimerudi-ee Kwa mwenyezi-ree anisamehe Jalali nakumiss sanaa Kukupenda ndio nataka kufanya Fafa fanya fafa fanya Fafa fanya fafa yanya Fafa fanya fafa fanya Fafa fanya fafa fanya Mhh kamata chini, na, na, na, na Juu kwa juu na, na, na, na, na Siku za mwisho zimewadia Wangapi watarudi na me today, kwake babaa Oh halleluyah Oh halleluyah Oh halleluyah Oh halleluyah Oh halleluyah

Más de Willy Paul

Willy Paul →

Letras relacionadas