Tai Chi
SW

Paroles de Tai Chi

GenreAfrobeats
Langue originaleSW
Vues7
AaLecture
Taille 18

Paroles originales

SW
Traduction indisponible. Les paroles originales sont affichées.
Nguo kaishona Wanajuta walioif umua Leo mungu kanionaaa Kanijibu zangu dua Penzi mbaazi Nakula huku najirambaa aah Kaniunga kwa nazi Samaki nampara magambaa Kula m’bakishie baba Sibakishi mi navimaliza Na kama tonge likinikwama Ye ndo maji ananituliza Ai, ukitaka za tai chi (sawaa) Hajapigwa anacheza Mwali nina degree (ayaa) Tui sitemi nameza Baby hi indo style gaani (ooh tai chi) Mbona umeganda hewani (ooh tai chi) Vurugu kwakwaru kama nyani (ooh tai chi) Kwani mwalimu wako nani, eh (ooh tai chi) Kanipa yote nidambue Udambu udambu nirumbue Kaniruhusu niamue Nitake nini nichague Nifunike unifunue Nibandike unibandue eeh Kula mbakishie baba Sibakishi mi navimaliza Na kama tonge likinikwama Yeye ndo maji ananituliza Nikitaka za tai chi (sawaaa) Hajapigwa anacheza Mwali nina degree (ayaaa) Tui sitemi nameza Baby hi indo style gaani (ooh tai chi) Mbona umeganda hewani (ooh tai chi) Vurugu kwakwaru kama nyani (ooh tai chi) Kwani mwalimu wako nani (ooh tai chi)

Plus de Ruby Tanzania

Ruby Tanzania →

Paroles similaires