Lazima Udie
SW

Lazima Udie lyrics

Duration23:45
Original languageSW
Views33
AaReading settings
Text size 18

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
Miaka thirty, nimekuwa neti Nilidhani wewe ni muriu Ukaniseti msee Chenye tunge squander ukajiekea Ukaniacha kwa ngori wakanidandia Na leo wameniachilia Leo ni leo aisee, lazima damu imwagwe Lazima meno ing'oke Lazima nioge na machozi Ulidhani kuwa mimi ni small- minded Lakini nakutambua, nakucheki Vi- fucking deadly Najua mtaa yako, Keja yako Hata bedroom yako Ulisahau, kuwa mi ni Yule msee Ntakupata labda ukilala- Nkuchome Ntakupata labda ukihanya- Niwachome Na najua, ya kuwa utakuwa, ukilia kwa huruma Machozi ya mamba, hayapati huruma Eti nikusare bila bare? Nikitumia hiyo dagger, uliachanga kwa mgongo Kukutoa uhai, Eti nikusare bila bare? Hahahaha Nakucheki kwa macho Nkiseti hii nare Moto ukiutumia mwili wako Misisimko Nahisi Oh Lazima Udie

More from Irony Destroyed

Irony Destroyed →

Related lyrics