Kuliko Jana
SW

Testo di Kuliko Jana

GenereRb
Durata5:33
Lingua originaleSW
Visualizzazioni3.2K
AaLettura
Dimensione 18

Testo originale

SW
Traduzione non ancora disponibile. Mostriamo il testo originale.
ana ni mwokozi wangu tena ni kiongozi wangu ananipenda leo kuliko jana baraka zake hazikwishi si kama binadamu habadiliki ananipenda leo kuliko jana kuliko jana kuliko jana yesu nipende leo kuliko jana kuliko jana kuliko jana yesu nipende leo kuliko jana nakuomba mungu uwasamehe wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema na maadui wangu nawaombea maisha marefu wazidi kuona ukinibariki ujue binadamu ni watu wa ajabu sana walimkana yesu mara tatu kabla jogoo kuwika ujue binadamu ni watu wa ajabu sana walimsulubisha yesu messiah bila kusita ooh, na bwana ni mwokozi wangu tena ni kiongozi wangu ananipenda leo kuliko jana baraka zake hazikwishi si kama binadamu habadiliki ananipenda leo kuliko jana kuliko jana kuliko jana yesu nipende leo kuliko jana kuliko jana kuliko jana yesu nipende leo kuliko jana wewe ndio nategemea kufa kupona baba nakutegemea (amen) chochote kitanikatsia kuingia mbinguni utaniondolea (ooh-ooh, yeah) wewe ndio nategemea (amen) kufa kupona baba nakutegemea (oh-oh) chochote kitanikatsia kuingia mbinguni utaniondolea (eh, wewe ndio nategemea) wewe ndio nategemea kufa kupona baba nakutegemea (eh, bwana) chochote kitanikatsia kuingia mbinguni utaniondolea (eh, maisha yangu yote) wewe ndio nategemea (kwa nguvu zangu zote) kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea) chochote kitanikatsia kuingia mbinguni utaniondolea (oh-oh-oh-oh) na bwana ni mwokozi wangu na tena ni mkombozi wangu ananipenda leo kuliko jana baraka zake hazikwishi si kama binadamu habadiliki ananipenda leo kuliko jana kuliko jana (kuliko jana) kuliko jana yesu nipende leo kuliko jana kuliko jana (kuliko jana) kuliko jana (kuliko jana) yesu nipende leo kuliko jana wewe ndio nategemea (wewe) kufa kupona baba nakutegemea (wewe) chochote kitanikatsia (uh-huh) kuingia mbinguni utaniondolea wewe ndio nategemea (ooh) kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea) chochote kitanikatsia kuingia mbinguni utaniondolea na bwana ni mwokozi wangu (amen) tena ni mkombozi wangu (amen) ananipenda leo kuliko jana (amen) baraka zake hazikwishi (amen) si kama binadamu habadiliki (amen) ananipenda leo kuliko jana (amen) kuliko jana kuliko jana nipende leo kuliko jana

Altro di Sauti Sol

Sauti Sol →

Testi correlati