Zawadi (feat. Zuchu)
SW

Zawadi (feat. Zuchu) 歌詞

ジャンルAfrobeats
原文言語SW
閲覧数68
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
Mon chérie 'je t'aime beacoup Penzi lako gundi, nimenasa Mon chérie, kama uchawi upo Mganga wako fundi 'hasa hasa Eh, mwamvuli wangu Moyo umeufunika (Wewe ndo) Kiboko yangu Unaejua pakunishika Kama mapenzi pilipili Lako laniwasha in a good way Nishakupa moyo na mwili Uwe wako 'uchukue Pokea (pokea) Zawadi (zawadi) Ya upendo wangu (Ya upendo) Wangu, my love Pokea (pokea) Zawadi (zawadi) Ya upendo wangu (Ya upendo) Wangu, my love Oh, uooh, oh Ma chérie, chérie Mu ungiye baridi weni komeya Mi uka makini Matso yangu ye hu ono hu fumbariya Zidisha ye zana Bawe huni lisi yilikiki kazana (Kazana) Kama mapenzi pilipili Lako laniwasha in a good way Nishakupa moyo na mwili Uwe wako 'uchukue Njoo tucheze kompa (kompa) Oh, baby (Mh, mmh, aah) We laizer wewe Aah, yah, yah, yah, yah Eeh, warere (wakacha) Wakacha (warere) Mh, mh, mh, mh, mh, aah Baby, pokea (pokea) Zawadi (zawadi) Ya upendo wa Ya upendo wangu, my love Baby, pokea (pokea) Zawadi, (zawadi) Ya upendo wangu Ya upendo wangu, my love Oh, my love

Dadiposlim の他の曲

Dadiposlim →

関連歌詞