inama
LN

inama 歌詞

ジャンルAfrobeats
時間3:36
原文言語LN
閲覧数10.9K
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

LN
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
ayolizer kukudekeza kama mtoto furaha unafurahia alafu geuka moto machozi unalia mwembamba mwenene uwe na pesa kama dangote (dangote) penzi halijali umasikini laweza penda mtu yoyote penzi sio somo ukasome kwa kitabu penzi limefanya harmonize afukuzishe mwarabu penzi oyoyo limeleta kwa wanangu vita siku hizi siwaoni naishia kuwalike insta hivo asiyekupenda achana naye anayekupenda pendana naye mambo stress ya nyumba ndani ebu cheza ufurahi kama songi limekolea asa inama ebu pinda mgongo (ooh ngo ngo ngo) oya inama (inama beiby) basi pinda mgongo (ngo ngo ngo ngo ngo) asa inama (inama beiby) ebu pinda mgongo kama tungi limepoza oya inama basi pinda mgongo toujours l'amour e'bandaka na esengo ba bisous ba calins ba cadeaux, ba je t'aime tout le temps mawé eleka wapi bébé na nga aza

Fally Ipupa の他の曲

Fally Ipupa →

関連歌詞