Vilevile
SW

Vilevile 歌詞

ジャンルGospel / Religious
原文言語SW
閲覧数3
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
Kabla sijakupata Niiupa imani moyo utulie Sa niko hapa Ni kwa nguvu zako tu Niliteseka sana Baba ukaniona Fedheha ukaondoa Maombi ukayajibu Umetenda kwa ukuu Bwana (umetenda) Na ukweli sikutegemea (sikutegemea) Umetenda kwa ukuu Bwana (umetenda) Na ukweli sikutegemea (sikutegemea) Sikubaki vile vile, vile vile Vile vile, vile vile Nilipokuomba ulinijibu, ukajibu maombi yangu Maombi yangu uliyajibu, ukajibu maombi yangu Sikubaki vile vile, vile vile Vile vile, vile vile Nilipokuomba ulinijibu, ukajibu maombi yangu Maombi yangu uliyajibu, ukajibu maombi yangu Uliniambia tulia son nina plans nawe Sa hiyo nachomeka kwa sun sikuchoka nawe Walikuwa wananicheka sana, maisha inakosa maana I can remember we ndo ulipewa na Waisraeli maana Najivunia kuwa nawe Bwana Nilipata ushuhuda nina mwana Umejibu maombi yangu sikubaki vile yeah... Mungu wa ajabu (ajabu) Mungu wa milele (milele) Sikubaki vile vile, vile vile Vile vile, vile vile Nilipokuomba ulinijibu, ukajibu maombi yangu Maombi yangu uliyajibu, ukajibu maombi yangu Sikubaki vile vile, vile vile Vile vile, vile vile Nilipokuomba ulinijibu, ukajibu maombi yangu Maombi yangu uliyajibu, ukajibu maombi yangu

関連歌詞