Utaniua
SW

Utaniua 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数10
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
Iyei, iyei, ye, iyei Imekua asubuhi Uwanja wa mapenzi moyoni umechafuka Nami sitaki Kufagia upendo uende Nina jua yangu roho Ni ndogo ni ndogo hasa ikipenda-e Ndio maana ukiwa tofauti baby Unaniumiza ndani ndani (iyee) Bado najiuliza ni kipi sijatimiza Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby Bado najiuliza ni kipi sijatimiza (haa) Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza (haa) Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby (haa) Hey Utaniua ua (haaha) hey (haaha) My baby utaniua ua (haaha) hey (haaha) Ooh utaniua ua (haaha) hey (haaha) Ooh baby utaniua ua (haaha) hey (haaha) Utaniua ua Nilijichangachanga ilimradi upendeze (ha) Nikajibanabana ilinisijikweze (ha) Sikutaka kugombana nikupoteze baby Ilimradi niwe na wewe Kibaya zaidi (naumia na upendo wako my love) Ulisema mpaka kifo mama (ha) Tungelizikwa wote (tungelifa wote) Ila unanikatisha tamaa (ha) Mimi sitaki uende Bado najiuliza ni kipi sijatimiza Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby Bado najiuliza ni kipi sijatimiza (haa) Bado najiuliza ni kipi kinakuumiza (haa) Bado najiuliza ni kipi mi sijaweza baby (haa) Hey Utaniua ua (haaha) hey (haaha) My baby utaniua ua (haaha) hey (haaha) Ooh utaniua ua (haaha) hey (haaha) Ooh baby utaniua ua (haaha) hey (haaha) Utaniua ua (We mama wee) unaniua ua (We mama wee) unaniua ua (We mama wee) unaniua ua (We mama wee) unaniua ua Unaniua ua (haaha) hey (haaha) oh, baby unaniua ua (haaha) Wewe unaniua ua (haaha) heiyeiye (haaha) Unaniua ua (haaha) mh-hei (haaha) Unaniua ua You love is the one You love is the one You love is the one I want your love

Jux の他の曲

Jux →

関連歌詞