Kiburi
SW

Kiburi 歌詞

ジャンルWorld Music
原文言語SW
閲覧数3
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
Nakumbuka kesha nilizoenda Baba Nilikuomba Mungu teletele Nikikupa mahitaji yangu yaliyokuwa moyoni mwangu Karura pia nimetembea nakukupa shida zangu Baba Zote umetimiza wa leo Mbona moyo wangu umeguza wema wako Baba Uliyoniangazia kama sina kitu Sikua na kitu kabla nikujue Mbona sasa umenibariki kiburi changu Sikua na kitu kabla nikujue Mbona sasa umenibariki kiburi changu Sadaka ibada nikiwa sitoi Maswali yakaanza kujaa kichwani Eti mbona najisumbua na wewe Ikawa nimelegea kiimani Na kutafuta kwa kutorokea Dunia mkono wazi ukanipoteza Natafuta mashimoni nijifiche Lakini ukanifikia na kunirudisha Sasa nimejipata Na kuelewe hakuna kinacholinganishwa Na Wema Wako Baba yangu Sikua na kitu kabla nikujue Mbona sasa umenibariki kiburi changu Sikua na kitu kabla nikujue Mbona sasa umenibariki kiburi changu Sikua na kitu kabla nikujue Mbona sasa umenibariki kiburi changu Sikua na kitu kabla nikujue Mbona sasa umenibariki kiburi changu Sikua na kitu kabla nikujue Mbona sasa umenibariki kiburi changu Sikua na kitu kabla nikujue Mbona sasa umenibariki kiburi changu

Kaberere の他の曲

Kaberere →

関連歌詞