Wema
SW

Wema 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数5
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
Ya zamani nikikumbuka Mbona nitakonda kwa pressure Oburu nikimbuka Unasumbuliwa tumbo la njaa Na mwenzio nimechoka Sina hata jero ya soda Eti saidia kaka Mbona hata Mola atakuona Unataka uniambie hukumbuki fadhila wewe Yaani yote nilofanya ni bure una hila wewe Unataka uniambie hukumbuki fadhila wewe Yaani yote nilofanya ni bure una hila wewe Yii aah, yii aah, yii ah Ah yii aah, yii aah, yii ah Ah yii aah, yii aah, yii aah Aah Umeniweka gizani, wema Hata mwanga sioni, wema Ona naumia moyoni, wema Umeniponza, wemaa Umeniweka gizani, wema Hata mwanga sioni, wema Ona naumia moyoni, wema Umeniponza, wema Saa nyingine najiona kama ukungu Umetanda kwenye njia yangu Saa nyingine najiona nina ngundu Nisaidie eeh Mola wangu Saa nyingine najiona kama ukungu Umetanda kwenye njia yangu Saa nyingine najiona nina ngundu Nisaidie eeh Mola wangu Maana kila mtu naye mpa moyo Anaushika anaupasua Hata yule nilomjali leo hii Naye ananizungua Ooh kitanzi Penzi langu laungua moto Jamani mapenzi Yananifanya nalia kama mtoto Yii aah, yii aah, yii ah Ah yii aah, yii aah, yii ah Ah yii aah, yii aah, yii aah Aah Umeniweka gizani, wema Hata mwanga sioni, wema Ona naumia moyoni, wema Umeniponza, wemaa Umeniweka gizani, wema Hata mwanga sioni, wema Ona naumia moyoni, wema Umeniponza, wema

Kusah の他の曲

Kusah →

関連歌詞