Yahaya
SW

Yahaya 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数18
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
Yahaya unaishi wapi Kwani jina lako halisi nani, Yahaya eeh (Oh Yahaya, oh Yahaya, oh Yahaya) Maskani yako Kinondoni Nyumba namba haijulikani, Yahaya eeh (Oh Yahaya, oh Yahaya) Huyu kijana mwenzetu, kila siku tupo nae maskani Anakula ofa za watu, anapoishi hata hapajulikani Tumetafuta, tumeuliza, hakuna ajuae Anavyozuga, anavyopita, si umdhaniae Na hafananii kabisa, na fix anazofanya Akidanganya kwa kina, unaingia kingi unafuata Kumbe hana helaa (Longo longo nyingi) Yahaya unaishi wapi Kwani jina lako halisi nani, Yahaya eeh (Oh Yahaya, oh Yahaya, oh Yahaya) Maskani yako Kinondoni Nyumba namba haijulikani, Yahaya eeh (Oh Yahaya, oh Yahaya, oh Yahaya) Kwa story za vilingeni, utafikiri kweli yeye ndio boss Suruali zake na mashati, utasema anafanya kazi bank Mara anasema usalama wa taifa, hakuna ajuae Kalubandika wa kizazi kipya, usomdhaniae Na hafanii kabisa, na fix anazofanya Akidanganya kwa kina, unaingia kingi unafuata Kumbe hana helaa Ooh Yahaya Yahaya unaishi wapi Kwani jina lako halisi nani, Yahaya eeh (Oh Yahaya, oh Yahaya, oh Yahaya) Maskani yako Kinondoni Nyumba namba haijulikani, Yahaya eeh (Oh Yahaya, oh Yahaya, oh Yahaya) Mara anasema usalama wa Taifa, hakuna ajuae Kalubandika wa kizazi kipya, usomdhaniae Na hafanii kabisa na fix anazo fanya Akidanganya kwa kina, unaingia kingi unafuata Kumbe hana helaa Yahaya unaishi wapi Kwani jina lako halisi nani, Yahaya eeh (Oh Yahaya, oh Yahaya, oh Yahaya) Maskani yako Kinondoni Nyumba namba haijulikani, Yahaya eeh (Oh Yahaya, oh Yahaya)

Lady Jaydee の他の曲

Lady Jaydee →

関連歌詞