Kilo
SW

Kilo 歌詞

アルバムKilo (feat. Kichwa Bingwa)
2025
ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数8
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
Mtoto si una pandashika Nyama safi kama tangi na ime tawanyika Kama dhambi siunatamanika Mpaka rangi ya malighafi na umenyamanyika Nimedrop shilingi Ninadai uipick ndo niflos kijimbi Niko short sipingi Kimasai nina stick moja strong kikingi Hizo scones ni mingi Ziko soft kiwimbi Nipe shot nitindi Zangu huwa triple shots kishindi Jitandaze ujieneze, kilo Ninataka nijiekegeze kilo (Ongeza) kilo Nimepanga nikutembeze, kilo Kona zote fiche hadi ujieleze kilo (Babe tena ongeza) kilo Aah kilo (Ongeza) kilo Eeh kilo (Babe tena ongeza) kilo Kilo kilo kilo Auuh kilo Ongeza kilo Babe tena ongeza kilo Are you a daughter from the sun? Ama mrembo unatokea angel clan Wa kipekee kwa kivyako haufanan Kila siku In a million we ni one My hun Every time I see you I think no good Maaana nakuonaga kama drink Kama food The way you are girl Is just so mwah Sijawahi kuwa outmood We hunikeep in mood Give me a look Give me your face Come, come closer let me hold your waist What you did to me jana Nataka tena Siezi kukutenda Labda nikutende mema Ukitaka kwenye kochi ninakupa waah Ukikamatia goti ninakupa waah Ukitaka kwenye bed nikapa waaah Unanipa waaah Ongeza Babe tena ongeza Jitandaze ujieneze, kilo Ninataka nijiekegeze kilo (Ongeza) kilo Nimepanga nikutembeze, kilo Kona zote fiche hadi ujieleze kilo (Babe tena ongeza) kilo Aah kilo (Ongeza) kilo Eeh kilo (Babe tena ongeza) kilo Kilo kilo kilo Auuh kilo Ongeza kilo Babe tena ongeza kilo

Leteipa the King の他の曲

Leteipa the King →

関連歌詞