Nilegeze
SW

Nilegeze 歌詞

ジャンルAfrobeats
原文言語SW
閲覧数5
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
Matamu ulonipa jana Yanazidi hamu mpaka zinasimama Usinipe nusu Me kwako mzima mzima, jiliwazee Ndotoni unanijia Huoni nalewa me nalia Ikifika inanata, swadakta Ukiniacha nitachakaa Haya nile Nilegeze nile, wewe sawa nile Nilegeze nile, mwenyewe haya nile Nilegeze nile, wewe sawa nile Nilegeze nile, mwenyewe Kama kamari Wamelamba kisuturu fu kopa Migandisho hatari Naleta utukutu hadi kwenye sofa Mimi nisemeje Mteja kwako nabembea Naweka na ukuta, weka nukta Mpaka futa ishike uta Ndotoni unanijia Huoni nalewa me nalia Ikifika inanata, swadakta Ukiniacha nitachakaa Haya nile Nilegeze nile, wewe sawa nile Nilegeze nile, mwenyewe haya nile Nilegeze nile, wewe sawa nile Nilegeze nile, mwenyewe Nalegea (ooh beiby) Nalegea (ukinishika shika) Nalegea (dembe dembe mwenzako) Nalegea (ooh wako utamu)

Lulu Diva の他の曲

Lulu Diva →

関連歌詞