Ate
SW

Ate 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数33
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
Nataka longa na wewe Nikufunze mapenzi Mwenzako nayajua Nataka sema nawe Nikufunze penzi mimi ninalijua Nipe nikubembeleze kama mtoto ng'ara Kwa raha zako ujinenepee Nikushike pendo lisiteleze likagaragara Wabaya macho wasisogelee Aaaaah ah Twende zanzibar comorro mombasa Tucheze zumari ndombolo chakacha Nikupe michezo hatari uzidi takata Tuwe ng'aring'ari dangote tanasha Kama kikogwa nitala na chumvi Ate ate ate atee Vimboga mboga sangara uduvi Ate ate ate atee Eeeeh iyanaaa iyaaaa Ate ate ate atee Iyaaana iyaaaaa Ate ate ate atee Mhh mhhh mhh mhhh mhhh Mimi daktari Daktari wa mapenzi Dozi yangu temethali Inatibu na kuenzi Mhh Yangu tamu tamu bila kuchanjia Chachu kwa kudambulia Swafi kwa kuitumia ni salama Kama buble gum utatafunia Ndafu kwa kusukumia Mhh chakurumagia Kinyama Penzi liogelee hii bahari salama Selelea se Tuelee mioyo isiende mrama Selelea se Tule tujisosomoe nyama nyama za shawarma Selelea se Habib seleleaaa Twende zanzibar comorro mombasa Tucheze zumari ndombolo chakacha Nikupe michezo hatari uzidi takata Tuwe ng'aring'ari dangote tanasha Aaaaah ah Kama kikogwa nitala na chumvi Ate ate ate atee Vimboga mboga sangara uduvi Ate ate ate atee Eeeeh iyanaaa iyaaaa Ate ate ate atee Iyaaana iyaaaaa Ate ate ate atee Jamaa mwali kang'ang'ania Anaitaka Mmhh analilia Anaitaka Oooh kashikilia Anaitaka Nimpe yote yote Yani nzima nzima Anaitaka Oooh kulamba lamba Anaitaka Chocolate ya maziwa Anaitaka Yote yote

Mbosso の他の曲

Mbosso →

関連歌詞