Mtaalam
SW

Mtaalam 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数97
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
Na Mbosso Khan tena (Sounds by Abbah) Una kila sababu Ya kusimama kimaso maso Mungu kweli wa ajabu Kanionyesha kwa yangu macho Chukua zangu swahabu Mi nibaki na dhambi zako Unishikishe adabu Mida ya kulala nitokwe jasho Mi sijui kupigna mwili wangu wa mapensi dear Tusipende kugombana mi mwepesi kulialia Si kujibanabana, raha ya penzi kujiachia Wako mahututi mama, nimekufa nimejifia Eeeh! Nalambishwa asali Kwenye mzinga wa nyuki, tamu ni hatari Nalambishwa asali Nachezeshwa buzuki, dudu chalichali Nimempata! Nimempata mtaalam nimempata Nimempata mtaalam nimempata Nimempata mtaalamu nimempata Nimempata mtaalamu nimempata Mi mTanzania wa halali, ila chembechembe za India Mungu kaninyima ufahari, ila kwa huba najisifia Sitakuhonga magari, ila mahaba utasanzia Penzi kachumbari kwa ugali na pilipili ya kushagia Aah eeh! Nikuite nani? Majina yote nishamaliza Aah eeh! Wangu wa ubani Umeweza kunituliza Aah eeh! Mambo ya chumbani Yaani nalala huku napulizwa Aah eeh! Penzi zito tani Napewa raha kupitiliza Eeeh! Nalambishwa asali Kwenye mzinga wa nyuki, tamu ni hatari Nalambishwa asali Nachezeshwa buzuki, dudu chalichali Nimempata! Nimempata mtaalam nimempata Nimempata! Nimempata mtaalam nimempata Mtaalamu wa mapenzi Nimempata mtaalamu nimempata Fundi wa mafundi kungwi Nimempata mtaalamu nimempata Wasafi

Mbosso の他の曲

Mbosso →

関連歌詞