Wasikudanganye
SW

Wasikudanganye 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数10
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
Wasikuambie kwamba mimi ati sina lolote Labda wakuambie sina ujanja juu yako Wasikudanganye watakupa utakacho chochote Wataitoa wapi furaha yako Maana wabaya hawatoki mbali Jirani yako we ndio anapenda usile Hawatokubali kuona bendera ya penzi lako inapepea Hawatokujali kipindi ambacho mawazo yanafanya usile Watakutupia mbali, hmm Siulisema unataka gari na nimekubali Kuenyeka mimi mie Tule mbegu na ugali kesho tutapata Kipenzi nivumilie Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali Kitanzi nining'inine Si tumetoka mbali mazoea Na ushakuwama huoo (moyo moyo) Wangu mimi unauendesha (moyo moyo) Funga macho na masikio ziba (moyo moyo) Usiwasikie usiwaone pia (moyo moyo) Umegota kwako, moyo wangu (moyo moyo) Hauu, uuh (moyo moyo) Usiwaone pia Kukosa majaribu moyo usije tia donda ukauchubua Maumivu yaniadhibu kisa upendo furaha yangu ukaichukua Kwenye kosa niadhibu nami mwanadamu siku ntakosea Kukuacha sijaribu wapi niende nami kwako nishajifia Ila usifanye kama fimbo, ufanane na tindo Ukashindwa kujali maumivu yangu Siulisema unataka gari na nimekubali Kuenyeka mimi mie Tule mbegu na ugali kesho tutapata Kipenzi nivumilie Ukinitema itakuwa ni hatari utanipa na ajali Kitanzi nining'inine Si tumetoka mbali mazoea Na ushakuwama huoo (moyo moyo) Wangu mimi unauendesha (moyo moyo) Oh funga macho na masikio ziba (moyo moyo) Usiwasikie usiwaone pia (moyo moyo) Umegota kwako, moyo wangu (moyo moyo) Auu uuh (moyo moyo) Uh moyo! Mooyo! Haah, ah moyo (Moyo moyo) wangu mimi (Moyo moyo) funga macho, yeah, yeah (Moyo moyo) oh, baby, eeh eeh (Moyo moyo) funga macho Ah, funga macho Heei, funga macho The African princess!

Nandy の他の曲

Nandy →

関連歌詞