Chuchumaa
SW

Chuchumaa 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数11
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
Vanny Boy Chuchumaa kama vile unafua Mama unapika basi nije kupakua Chuchumaa kwenye choo cha mabua Ila chunga mchanga usiingie kitumbua Chuchumaa, kisha ulegeze nyonga hiyo Chuchumaa unitoneshe kidonda hiyo Chuchumaa, ona nyoka anaconda hiyo Chuchumaa ufanye mlima ufanye mlima kitonga hiyo Ai katoto, motomoto Moto moto, moto moto Ai baikoko, moto moto Joto joto, moto moto Kamata ukuta Shuka mpaka chini take it down zungusha Kamata nakupa Nikishika nyundo nipasue kichupa Oweoo weoo Kina dada mko wapi? Oweoo weoo Basi muingie kati Chuchumaa, chuchumaa Chuchumaa, chuchumaa Chuchumaa, chuchumaa Chuchumaa, chuchumaa Chuchumaa, chuchumaa Chuchumaa, chuchumaa Chuchumaa, chuchumaa Chuchumaa, chuchumaa Kimbau mbau, tukunyema Pilau lau, nipe supu tena Mashau shau kana sinema Yaani kanakula ndizi bila kumenya Basi nipe za Kichina eeh, msamba Fanya kama Bruce Lee, msamba Viuno vya kusigina eeh, msamba Fanya kama Jet Li Unavyocheza kwenye chaki Nataka hakataki Na chumbani Varangati kwaito Na pembeni Katikati Nakatachi bila wasi Kamedata na Wasafi tight-ooh Ai katoto, motomoto Moto moto, moto moto Ai baikoko, moto moto Joto joto, moto moto Kamata ukuta Shuka mpaka chini take it down zungusha Kamata nakupa Nikishika nyundo nipasue kichupa Oweoo weoo Kina dada mko wapi? Oweoo weoo Basi muingie kati Chuchumaa, chuchumaa Chuchumaa, chuchumaa Chuchumaa, chuchumaa Chuchumaa, chuchumaa Chuchumaa, chuchumaa Chuchumaa, chuchumaa Chuchumaa, chuchumaa Chuchumaa, chuchumaa Tingishika, tingisha

Rayvanny の他の曲

Rayvanny →

関連歌詞