Ya Dunia
SW

Ya Dunia 歌詞

ジャンルWorld Music
原文言語SW
閲覧数3
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
Hayeye! Nimesota, sina wera Juzi nilikopa nilipe mama mboga Hawajui, hawata amini Juu mi ni mwana mziki na mambo yangu iko fiti Na huko instagrama, wanadhani nimeosa Sababu waliona nikikula na Obama Wengi ni mastar kwa vile wanavyo vaa Lakini utashangaa, vile wanavyokaa Wengi hujifanya mambo yao yako sawa Lakini utashangaa, ni mengi haya ya dunia Hayeye! Chakula githeri chemsha na avocado Na nina deni ya soo mbili ya mama Wambo Sasa nasaka fare anagalau nifike show Lakini jana si nilikua kwa TV Na juzi pia nilikua kwa gazeti Mambo yangu yanafaa kua fiti Huko instagrama, wanadhani niko poa Sababu waliona, ile poster ya Koroga Wengi ni mastar kwa vile wanavyo vaa Lakini utashangaa, vile wanavyokaa Wengi hujifanya mambo yao yako sawa Lakini utashangaa, ni mengi haya ya dunia Sio yote yang’aayo ni dhahabu Watu huficha masaibu kwa tabasamu Basi sote tuwe wakarimu Sababu yote yang’aayo si dhahabu Wengi ni mastar kwa vile wanavyo vaa Lakini utashangaa, vile wanavyokaa Wengi hujifanya mambo yao yako sawa Lakini utashangaa, ni mengi haya ya dunia

Serro の他の曲

Serro →

関連歌詞