Moyo
SW

Moyo 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数48
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
Vee Money on the track, yeah Moyo unanikosea, moyo unanikosea Nakaa na wewe, natembea na wewe Nalala na wewe, bado unanikosea Zungumza nami mchana (la-la-la) Zungumza nami usiku (la-la-la) Kama haifai hata ndotoni tu Usishindane na kichwa (aah) Tumalizane yakaisha (aah) Moyo nirudishie maisha (aah) Mtupu, mtupu nimekwisha Moyo unanikosea, moyo unanikosea Moyo unanikosea, moyo Moyo unanikosea Moyo unanikosea (we moyo) Moyo unanikosea ('Asa mbona unanitorture?) Moyo unanikosea (we moyo) Moyo unanikosea ('Asa mbona unanitorture?) Umeniadhibu chozi tiba yangu (we haya) Umeziharibu zote hisia zangu (basi sawa) Moyo mbona umenitoa chambo? Moyo we hunanga chanjo Moyo umenifanya pango Moyo huishiwi mipango Waongo wote unawaleta kwangu Wanaocheati nao ni wa kwangu Walevi wote nao ni wa kwangu Mbona unajitesa? Usishindane na kichwa (aah) Tumalizane yakaisha (aah) Moyo nirudishie maisha (aah) Mtupu, mtupu nimekwisha Moyo unanikosea, moyo unanikosea Moyo unanikosea, moyo Moyo unanikosea Moyo unanikosea (we moyo) Moyo unanikosea ('Asa mbona unanitorture?) Moyo unanikosea (we moyo) Moyo unanikosea ('Asa mbona unanitorture, moyo?) We moyo 'asa mbona unanitorture? (Mbona unanitorture?) We moyo, 'asa mbona unanitorture? We moyo

Vanessa Mdee の他の曲

Vanessa Mdee →

関連歌詞