Niwache
SW

Niwache 歌詞

ジャンルWorld Music
原文言語SW
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
Mmh mmh mh ooyehh mmh Huwa kweli nashangaa Wale ambao wanapendaa Bila kukosana na kuwachana wafanyaje Jua lang'aa Na siku zaendaa Bado sijapenda na kupendeka nifanyaje Nikipenda natendwa, nikikosa natengwaa Nilizunguka kushoto, kulia ooh nikachoka Nikipata napendwa, nikileta napendwa Kuotanga mandoto, asante nikajifunzaa Maombi kaomba, omba! Niwezeshwe kupenda, aih! Mengi yanasemwa, kwa rafiki tena jiranii Kulala kalala, lala! Niyasahau kupenda, aiih! Mengi nayaona, hadharani toka zamanii Niwache Niwache mimi Niwache Nikakondaaa Niwache Mapenzii Niwache Na mengine sisemi Ni mengi tu nimeyaona Kununua mapenzi Haitoki tena kwa moyo Na mengi kaambiwa, ukiwa naye ni wakoo Maana akiondoka-anaranda kwingi hachoki Kama mtoto sijajua! Mapenzi sijaelewa! Kule napotoka, hakuna tena kupendaa Kama baba angekuepo Kunifunza kupenda! Wale ninaopenda Hakuna tena mapenzi Maombi kaomba, omba! Niwezeshwe kupenda, aiiih! Mengi yanasemwa, kwa rafiki tena jiranii Kulala kalala, lala! Niyasahau kupenda, aiih! Mengi nayaona, hadharani toka zamanii Niwache Niwache mimi Niwache Nikakondaaa Niwache Mapenzii Niwache

Zaddy Raydio の他の曲

Zaddy Raydio →

関連歌詞