Nani
SW

Nani 歌詞

ジャンルPop
原文言語SW
閲覧数78
Aa表示設定
文字サイズ 18

原文歌詞

SW
翻訳はまだありません。原文を表示しています。
Eeh zombiee acha iyo! He one two one two eh maiki cheki (maiki cheki) Tunajump jump eh kama kitenesi Eh! Kama kalambwanda nda nda kalambwasi Na kama huna msambwandaa usingie kati (ayee) Alulue aluluee (alulue aluluee) Aah kama mtu hachezi mzabue (tumzabue tumzabue) Sema alulue alulueee (alulue aluluee) Kama mtu hachezi tumtoee (tumtoe tumtoe) Eh nani anaweza kulicheza sagarumba Mimi ninaweza kulicheza sagarumba Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba Nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba Maftaaa ta mafta taa mafta taaa Yamemwagika yamemwagika yamemwagika Mpaka chini mpaka chini mpaka chini Amina amina na mwajuma Wanaringa hawa kima Kumbe wanauza Usiseme hivyo Kilode kilode kilodee Watoto wadogo wanataka nipotee Haa! Labda nifukiwe chini wala wasiwaongopee Hee! Shindo langu mimi mjikusanye wote Haya sеma shkamoo dada (shkamoo dada) Shkamoo kaka (shkamoo kaka) Mniamkie shkamoo mama (shkamoo mama) Shkamoo baba (shkamoo baba) Alulue aluluee (alulue aluluee) Aah kama mtu hachеzi mzabue (tumzabue tumzabue) Sema alulue aluluee (alulue aluluee) Kama mtu hachezi tumtoee (tumtoe tumtoe) Eh nani anaweza kulicheza sagarumba Mimi ninaweza kulicheza sagarumba Nauliza nani anaweza kulicheza sagarumba Nasema mimi ninaweza kulicheza sagarumba Aah twende maftaaa taa mafta taa mafta ta (yana nini) Yamemwagika yamemwagika yamemwagika (eti mpaka wapi) Mpaka chini mpaka chini mpaka chini (mamaaa)

Zuchu の他の曲

Zuchu →

関連歌詞