Mapenzi Poa Maisha Poa
AF

Mapenzi Poa Maisha Poa lyrics

GenreGospel / Religious
Original languageAF
Views9
AaReading settings
Text size 18

Original lyrics

AF
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
Kaeni pamoja Anakupeda unampeda Anakujali unamjali Pamoja mnapedezana Kama ilivyio kawa Unapika maadazi akiuza Unapika uji akiuza Unaigizia pesa hapo kwa kinyozi Wewe hapo kwa salon Kunipeda ni kunipeda nilivyio Wakati niko nayo na wakati sina Mapenzi poa maisha poa Ukiniona nakulilia Mimi sio mjiga Wewe die mjiga Nakupeda Roho yangu inafurahishwa na wewe sanaa Najua nilikukosea nisamehe dio Tukae na wewe pamoja Kama bibi na bwana Mungu alitabili penzi letu Sisi tumeamua sasa Dunia na vituko zake Urembo wananunua na pesa Mwili wananunua na pesa Kulala wananunua na pesa Waite wanaume Kuna mambo wanafanya Brichi kila mahali Sio makario Sio kifua Sio muonekano Sio sura nzuri Waite wanawake Hii ni baya Kushida ni kushida na wewe Kukaa na wewe kulala Mapenzi poa maisha poa Huyo mtu mmjo asikufanye upoteze thamani yako Kisha maana hakupedi Mwachie mungu Nakutebelea unanitebelea Wapenzi wanaishi pamoja Maadui wanaishi kando Kaeni pamoja Anakupeda unampeda Anakujali unamjali Pamoja mnapedezana Kama ilivyio kawa Unapika maadazi akiuza Unapika uji akiuza Unaigizia pesa hapo kwa kinyozi Wewe hapo kwa salon Kunipeda ni kunipeda nilivyio Wakati niko nayo na wakati sina Mapenzi poa maisha poa Mpiganie nikupiganie Aliniacha wakati nilimumiss sana Amelia leo pia jana kusema kaashwa Hiyo sio poa Hiyo sio penzi poa Njaa ya mwili ni kwa muda tu Njaa ya moyo ni kwa milele Kupeda ni na moyo sio mwili Mungu nibariki na mpenzi wangu Mapenzi poa maisha poa Tuishi na wewe milele Daima dawamu mpenzi wangu

More from KingsMainaMSsteve

KingsMainaMSsteve →

Related lyrics