Moyo Koma
English

Moyo Koma lyrics

GenreGospel / Religious
Original languageEnglish
Views5
AaReading settings
Text size 18

Original lyrics

EN
Kulia sio mapenzi Kuwishi siku zirudi nyuma Ubadilishe ulipo kosea Sio mapenzi, mapenzi ni kupedana Kati ya watu wawili Moyo Koma katika jina la Yesu Kumbuka venye alikufanyia matharao Koma kumumis, yeye hakumis Koma kumtaka aje kwako, yeye hakutaki kwake Koma kumfikiria kila siku, yeye hakufikiriagi Koma kumpeda, yeye hakupedi Koma kumwagalia kwa social media Yeye hakuagaliagi, hana haja na wewe Koma na ukome kabisa Sahau na yeye, inauma sana Lakini lazima ukubali hivyio ndivyio Kuko na kutakuwa hivyio Hii ni maisha Kumpigania sio mapenzi Kuhuzunika sio mapenzi Kumumis sio mapenzi Ukimtaka na yeye akukatae, sio mapenzi Moyo Koma katika jina la Yesu Kumbuka venye alikufanyia matharao Koma kumumis, yeye hakumis Koma kumtaka aje kwako, yeye hakutaki kwake Koma kumfikiria kila siku, yeye hakufikiriagi Koma kumpeda, yeye hakupedi Koma kumwagalia kwa social media Yeye hakuagaliagi, hana haja na wewe Koma na ukome kabisa Sahau na yeye, inauma sana Lakini lazima ukubali hivyio ndivyio Kuko na kutakuwa hivyio Hii ni maisha Hata baada ya hayo yote Umekata kumove, on my friend, it’s over now Kubali, ona kichwa imechoka kumfikiria Miguu ilichoka kumtembelea kila weekend Macho haitaki ata kuniona tena Mikono ilichoka kumsalimia Feelings zake zilikufa kitambo Simu ilikata kutumika vibaya kumtumia message Kumpigia, kumtumia pesa na credit Mdomo imefuugika kabisa Imekataa kuogea na yeye Moyo wacha kulia, utapata mwingine Unchungu wa leo ni kesho mambo poa Ukiachuwa, kubali kuwachika Ukikataliwa, wewe pia uwakatae Usilazimishe Sitakuacha, nitasimama na wewe Kama ulivyio simama na mimi Nikipitia magumu ya maisha Nimekuahidi baby moyo wangu Moyo Koma katika jina la Yesu Kumbuka venye alikufanyia matharao Koma kumumis, yeye hakumis Koma kumtaka aje kwako, yeye hakutaki kwake Koma kumfikiria kila siku, yeye hakufikiriagi Koma kumpeda, yeye hakupedi Koma kumwagalia kwa social media Yeye hakuagaliagi, hana haja na wewe Koma na ukome kabisa Sahau na yeye, inauma sana Lakini lazima ukubali hivyio ndivyio Kuko na kutakuwa hivyio Hii ni maisha

More from KingsMainaMSsteve

KingsMainaMSsteve →

Related lyrics