Sisi-Wa-Ziwa-Hili
AF

Sisi-Wa-Ziwa-Hili lyrics

GenreGospel / Religious
Original languageAF
Views6
AaReading settings
Text size 18

Original lyrics

AF
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
Karibu nyumbani Karibu home Karibu kwa kipenzi cha moyo wangu Sisi hapa tunapeda kufurahia siku zote Sisi wote tumetoka far Na tunaeda far Mimi ni mswahili Wewe ni mswahili Sisi wote ni waswahili eeeh Sisi-Wa-Ziwa-Hili Sisi dio wenyeji wa hapa Tunajivunia haya mazigira yetu Hewa safi watu safi Kunapedeza huku kwetu Kuna milima mabonde Wanyama tofauti tofauti Kwenu mnajivunia nini Kila mahali kuna siri yake Tembea ujionee Dunia ni kubwa Hapa tunakula samaki na ugali Kwenu mnakula na nini Hapa tunasafiri na meli Kwenu mnasafiri na nini Hapa tunapedana kama familia Kwenu je mnapedana Waone watoto akina mama wanaogelea Wazee kwa vijana wanatega samaki Wamejiajiri wenyewe Wadogo wakubwa Wakonde kwa wanono Maskini kwa tajiri Waliosoma na ambao hawajasoma Wote tunaishi mtaa moja Sisi-Wa-Ziwa-Hili Sisi dio wenyeji wa hapa Tunajivunia haya mazigira yetu Hewa safi watu safi Kunapedeza huku kwetu Kuna milima mabonde Wanyama tofauti tofauti Kwenu mnajivunia nini Kila mahali kuna siri yake Tembea ujionee Dunia ni kubwa Uede Korea ufanye kazi uko Uede Marekani upate bibi huko Ufugue kampuni kubwa India Utembee Africa Kila mahali wakujue Ufugue studio za mziki Russia Ukuwe msani mkubwa Dunia inakutabua Ukuwe dactari utibu watu dunia kote Ukuwe mwigizaji upate pesa mingi Aje huko kuote utaeda Lakini home is the best Utarudi tu umejijua ukiwa uko Uedesha ndege angani Ufly na parachut angani Uedesha Titanic meli kubwa duniani Uedesha meli juu ya maji Uedesha matatu barabarani Uedesha baskeli nyikani Utembee adventure kila mahali Utarudi home, home is the best Wapede wasipede Wakupede wasikupede Home is the best place Wakudumu atadumu milele Wakukupeda atakupeda milele Wakukupeda atakupeda milele Wakubadilika atabadilika milele Jua maana yake Fanya kazi siku therathini mwezi mzima Nenda kasalimie wazazi wako nyumbani Wapelekee sukari mkate Hakuna wengine kama hao Sisi-Wa-Ziwa-Hili Sisi dio wenyeji wa hapa Tunajivunia haya mazigira yetu Hewa safi watu safi Kunapedeza huku kwetu Kuna milima mabonde Wanyama tofauti tofauti Kwenu mnajivunia nini Kila mahali kuna siri yake Tembea ujionee Dunia ni kubwa Tumezaliwa hapa Tumesomea hapa Tumekulia hapa Tutaishi hapa hadi kifo Generation zetu watabaki hapa Tutaishi Milele Daima dawamu Sisi-Wa-Ziwa-Hili Sisi dio wenyeji wa hapa

More from KingsMainaMSsteve

KingsMainaMSsteve →

Related lyrics