Tutawaaibisha (Wataaibika)
SW

Tutawaaibisha (Wataaibika) lyrics

GenreGospel / Religious
Original languageSW
AaReading settings
Text size 18

Original lyrics

SW
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
Walithania tutakuwa walivyio thania yao Sisi sasa ni watu wengine Hawaamini, wasema ni uchawi Wengine wasema ni miti shamba Sisi tuna mjua mungu mmoja Naye ni mungu wa Ibrahimu Ule wa Bible, eeh, ule mmoja wa Bible Nilisema tu siku moja tutawaaibisha Wataaibika na miujiza ya mungu wakituona Sikuwa mlevi Nilisema siku yangu itafika nikuwe mimi Lakini mimi mwingine mtu wa kupedwa na kila mtu Mbona mnainama mkiniona Niagalieni kwa macho nyinyi Mbona hamuniogelei sana Na venye mlikuwa mnaniogelea vibaya Endeleni kuniogelea Nawaluhusu, hiyo ni haki yenu Mbona mnanisalimia na hamukuwa mnataka ata kuniona Siwasalimiki sasa mnataka mawaitha Nilivyio fanikiwa mtoto wa nyoka ni nyoka Siwezi saidiana na watu kama nyinyi Kaeni na maisha yenu Mimi nakaa na maisha yangu Poleni sana Mwanadamu anamambo mingi ya kufanya maishani Nayo maisha ina surprise yake Maisha ni shule kusoma kuhitimu ni kazi Wambo aliniacha akapeda brayo Wacha akae uko joki Akasema sitanunua mahali Sasa hivi ona masion yangu Utaskia kiwaru unikemee Alafu ukuje sasa tuugane Tukuwe kitu moja Sitakubali Ivo unilete chini penye sijawai fika Alafu uje uniombe msamaha Turudiane na wewe haiwezi Sitakubali Ulikosa kunisuporti wakati nilikuwa chini Sasa nimejisimamishi mimi mwenyewe Sasa nimeanza kukuona karibu na maisha yangu Kwenda kabisa Wewe ni rafiki wa aina gani Nenda na sitawai taka kukuona karibu na maisha yangu Watu wengine waodoe kabisa karibu na maisha yako Na mambo itakuwa poa sana Eeh wewe mwenyewe Nilisema tu siku moja tutawaaibisha Wataaibika na miujiza ya mungu wakituona Sikuwa mlevi Nilisema siku yangu itafika nikuwe mimi Lakini mimi mwingine mtu wa kupedwa na kila mtu Mbona mnainama mkiniona Niagalieni kwa macho nyinyi Mbona hamuniogelei sana Na venye mlikuwa mnaniogelea vibaya Endeleni kuniogelea Nawaluhusu, hiyo ni haki yenu Mbona mnanisalimia na hamukuwa mnataka ata kuniona Siwasalimiki sasa mnataka mawaitha Nilivyio fanikiwa mtoto wa nyoka ni nyoka Siwezi saidiana na watu kama nyinyi Kaeni na maisha yenu Mimi nakaa na maisha yangu Poleni sana

More from KingsMainaMSsteve

KingsMainaMSsteve →

Related lyrics