William Ruto
AF

William Ruto lyrics

GenreGospel / Religious
Original languageAF
Views11
AaReading settings
Text size 18

Original lyrics

AF
Translation not available yet. Showing the original lyrics.
William Ruto William Ruto William Ruto nimekuita mara ngapi Wewe ni wetu mimi ni wenyu wakenya wote ni wenyu tunakupeda sana William Ruto William Ruto William Ruto nimekuita mara ngapi Wewe ni wetu mimi ni wenyu wakenya wote ni wenyu tunakupeda sana Mzee na kazi baba wa taifa maedeleo tunayo tunajuvunia kuepo kwako Asubuhi nikiamuka humuombea sana William Ruto abarikiwe Naibu wake pia abarikiwe siku nyingi duniani Ruto kasema Ni vyiema kupea mifugo chanjo faida kwako wewe mkulima Kama umejega nyumba kwa bei nafuu nani mwingine kama wewe Akuna umetujegea mashule mabalabala amani ya wakenya Umetuletea mambo mazuri ya sha karo umepunguza watoto Wanasoma vizuri nani mwingine kama wewe akuna William Ruto wewe ni mzuri ubagui wewe ni wa kabira Fulani umetoka wapi unfanyaga nini unatupeda sote kama wakenya Kitu kimoja kama ni pesa unagawanisha vizuri tunajuvunia wewe baba wa taifa Ata walale waamuke waseme ubaya wako mimi nitakupeda nitakupeda Zaidi ya Jana Ebu taazama furaha ya wakenya ukieda Mombasa Wanasema William Ruto tosha Nairobi Nakuru na country zote za Kenya tumeugana tunasema William Ruto tosha mambo mazuri Huchukua muda tumpe nafasi tafadhari Walisema agusha bei ya sukari umeangusha wakasema agusha bei Ya uga umeangusha mafuta pia umeangusha nani mwingine kama wewe akuna Mtu ni William Samoe Ruto Mtu ni William Samoe Ruto Mtu ni William Samoe Ruto

More from KingsMainaMSsteve

KingsMainaMSsteve →

Related lyrics