Mapenzi
SW

Mapenzi 가사

장르Afrobeats
원문 언어SW
조회수33
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
No aah, aah Mr. Simon Aya aah, aah eeh, eh, eh Amini unaempenda, naye Ana wake anayaempenda pia Na siku zinakwenda aah, aah Na hata yule anayempenda, naye Ana wake anayemwita dear Haya mapenzi mwana kwenda aah Na ni yaleyale mapenzi Yalotesa mabibi na mababu hadi leo Mie mwenzenu siyawezi Ni bora uyashuhudie kwa mwenzio, ama kwa video Usione mtu analiaga, ukadhani ni utoto Mapenzi yana vingi vituko, nyingi changamoto ona Ukimpata anayekuthamini Mnatulia na utunze yake heshima Ujue ndo kashazama kwa kina wewe Ah eeh vipo vya kuvumilia Lakini sio mapenzi, mapenzi yanaumiza Mi ndio maana siyawezi Vipo vya kuvumilia Lakini sio mapenzi, mapenzi yanaumiza Mi ndio maana siyawezi Aah we penda unapopenda, unapoamini Kwamba amani ya moyo wako ipo Na ukikosa unachopenda, utapagawa bure Hata ufanye matambiko Hata ukipenda kweli, hauwezi jua sababu ni siri ya moyo wako Hata kama akifeli, atapuuzia ili uteseke tu peke yako Ngoswe kitovu cha uzembe, ukipenda huoni Na anayempenda hajui, hatambui kama ye ndo ako mbooni Hata akisema amechoka, anataka muachane We zidi kumpenda tu hivyo hivyo Maana mapenzi hayana mwenyewe aah Unaweza ukaondoka, ukaenda kupenda pengine Napo ukakuta ndivyo sivyo, ukajihisi una mkosi wewe aah Ukimpata anayekuthamini mnatulia na utunze yake heshima Ujue ndo ukashazama kwa kina wewe Ah eh vipo vya kuvumilia, lakini sio mapenzi Mapenzi yanaumiza, mi ndio maana siyawezi Vipo vya kuvumilia, lakini sio mapenzi aah eh Mapenzi yanaumiza aah (mi ndio maana siyawezi) Ibraah, Konde Music Worldwide This is Simon, uuh

Ibraah의 다른 곡

Ibraah →

관련 가사