Nilipize
SW

Nilipize 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수6
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Hivi kweli unakumbuka hata kujuta Kwa ulionifanyia? Moyoni uliguswa au ulipuuza Na hautaki nisikia? Hata kutuma ujumbe mfupi tu, my darling Unikosee wewe niombe msamaha mimi, yeah Nashindwa hata kusema ni moyo unaniuma Na pia uongo ni dhambi natamani urudi tena Wewe ndo my everything sitaki geuka nyuma Nataka kuwa nawe mamito Nataka kuwa nawe Ningesema nilipize woh Mabaya yako nikuumize Nawe uumie Ninachohisi ni kupenda kwenye moyo wangu Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako Ninachojua nakupenda kwenye moyo wangu mamaa Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako Ungenifikiria hata mara moja Japo hauna hisia nami Nidanganye hata kwa ngoja ngoja nitasubiri Ulikubali kwa moyo mmoja kuyajenga maisha nami Nieleze ni wapi nlipoteleza nisiumie Nashindwa hata kusema ni moyo unaniuma Na pia uongo ni dhambi natamani urudi tena Wewe ndo my everything sitaki geuka nyuma Nataka kuwa nawe mamito Nataka kuwa nawe Ningesema nilipize woh Mabaya yako nikuumize Nawe uumie Ninachohisi ni kupenda kwenye moyo wangu Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako Ninachojua nakupenda kwenye moyo wangu mamaa Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako Kama ningelipa unayontenda ungeshaumia Sitamani maumivu nayopata yaje kwako pia Namuachia Mola anilipie Anionyeshe fungu langu mie Ninachohisi ni kupenda kwenye moyo wangu Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako Ninachojua nakupenda kwenye moyo wangu mamaa Sina hakika na kupendwa kwenye moyo wako Moyo wangu Moyo wako

관련 가사