원문 가사
SW번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Yanaanza na shauku
Kinachofua ni furaha isiyo na kifani
Baada ya kujuana yanakuja mazoea
Mazoea yakizidi yanasababisha kutoelewana
Na pengine huleta ugomvi
Na mara nyingi ugomvi huweza kusababisha uadui
Mapenzi, this is the love album