Nikuite nani
SW

Nikuite nani 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수15
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Lalah lalah lalah Lalah lalah lalah Ei eih Lalah lalah lalah Lahlah lalah lalah Lalah lalah lalah Lahlah lalah Sifa kibao nishasema Yote sababu nimezama Uzuri wako ndo unazidi nipa homa Haki ya nani mi nitakatia bima Mi sisikii napata raha Nitasubiri more honey Na sioni, baby karaha Long time nimedata nawe Wajua kwako mi mtoto tu Na jina lako nitachora tattoo Ushanifit changu kiatu Wajua baby vile I love you Wajua kwako mi mtoto tu Na jina lako nitachora tattoo Ushanifit changu kiatu Wajua baby vile I love you Baby mami, jina gani ni sawa Nikuite nani, darling Tell me, kwako ikawe dawa La, la lala lala Lala lala lala La, la lala lala Lala lala lala Kama zawadi nitakupa dunia Uitawale mama we (he yeh) Mfano wa bahari juu mamii naelea Nimejifia kwako we (he yeh) Ukamilishe uzima wangu Ukamilishe na nyumba yangu Ukawe amani ya moyo wangu milele eyei yei Wajua kwako mi mtoto tu Na jina lako nitachora tattoo Ushanifit changu kiatu Wajua baby vile I love you Wajua kwako mi mtoto tu Na jina lako nitachora tattoo Ushanifit changu kiatu Wajua baby vile I love you Baby, mamii jina gani ni sawa Nikuite nani, darling Tell me, kwako ikawe dawa La, la lala lala Lala lala lala La, la lala lala Lala lala lala Mboni yangu ina jina lako wewe We jela yangu nimejifunga mwenyewe Watose wote sitopenda uchezewe Nakudhamini mimi Mboni yangu ina jina lako wewe We jela yangu nimejifunga mwenyewe Watose wote sitopenda uchezewe ehee Baby, mamii jina gani ni sawa Nikuite nani darling Tell me, kwako ikawe dawa La, la lala lala Lala lala lala La, la lala lala Lala lala lala Aah aha ah Mmh mhh Eiye eiyeh mmh mhh Yeah, I love you baby It's your boy African boy

Jux의 다른 곡

Jux →

관련 가사