Hapana
SW

Hapana 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수5
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Hata waseme nini sikuachi Ndio kwanza umepanda na chati Umenidhibiti umeshika na shati Umeshinda umevunja kamati Mwenzio umejitoa mhanga Kwenye huba lako Nichape nipeleke utakavyo Mimi punda wako Sitoshika simu yako Ila shika yangu nimekubali Hao hao wafiki zako Wanokusema mimi sikubali Eti wanasema Mara unagawa kwa vipande Oh unakwenda kwa mpalange Eti sikwezi nikajipange Mara nikuache ukadange Baby mi hapana, kukuacha hapana Unachonipa hapana, mi kukikosa hapana Baby mi hapana, kukuacha hapana Unachonipa hapana, mi kukikosa hapana Hushangai nishakufumania Ila bado nimeng'ang'ania Penzi lako limenizidia Na mwaka huu watanizika Na si walisema kwamba hubebeki Leo nakubeba yaani kudadeki Mmh afe kipa au afe beki Nishakuwa wako liwalo liwe Sitoshika simu yako Ila shika yangu nimekubali Hao hao wafiki zako Wanokusema mimi sikubali Eti wanasema Mara unagawa kwa vipande Oh unakwenda kwa mpalange Eti sikwezi nikajipange Mara nikuache ukadange Baby mi hapana, kukuacha hapana Unachonipa hapana, mi kukikosa hapana Baby mi hapana, kukuacha hapana Unachonipa hapana, mi kukikosa hapana

Kusah의 다른 곡

Kusah →

관련 가사