Goli
SW

Goli 가사

장르Afrobeats
원문 언어SW
조회수7
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Mmh yeah, yeah, yeah Mmh aah, mmh hmm Kichwani umeshazima data Sioni, sisikii Nawaza langu kosa sijapata Zile swagga longo longo dukuduku Tebu tobekeza chipsi kuku Zimejenga uadui wa mimi na wewe Kipindi umedhihirisha uadui Kuweka wazi ukadhubutu Na zile kona kona ukajenga chuki Ki ghafla ukawa nyungu Ilikuwa subira yangu na upolee Kuvumilia tulipokosa wewe tusiachanee Nitapata taratibu tusiachanee Kwa vyetu vidogo tusigombanee Nitapata taratibu tusiachanee Kwa vyetu vidogo tusigombanee Eeeh aah Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh) Bila ya mechi goli Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh) Bila ya mchezo Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh) Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh) Umenifunga goli yooh Usiwe sungura mnyama pori Mbivu na mbichi kwake zinaliwa Ukanifanya kila siku, mie nilie Aah eeh Ata nilete kuku na dai kachori Bora za kuku firigisi na utumbo Lengo lako unisumbue aah eeh Na hata nikiliaa Machozi kwangu hayatoki Na hata nikaa kimya Sio sawaa aah Nitapata taratibu tusiachanee Kwa vyetu vidogo tusigombanee Nitapata taratibu tusiachanee Kwa vyetu vidogo tusigombanee Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh) Bila ya mechi goli Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh) Bila ya mchezo Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh) Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh) Umenifunga goli yooh Aah aah eeh Bila ya mechi goli Umenifunga maah Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh) Bila ya mechi goli Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh) Bila ya mchezo Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh) Aii goli goli umenifunga maa (aah eeh) Lomodoo

Lomodo의 다른 곡

Lomodo →

관련 가사