Chekecha
SW

Chekecha 가사

장르Afrobeats
원문 언어SW
조회수4
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Aah ongeza sauti ya fundi Ya fundi Ongeza sauti ya fundi Sexy Diva Mchuchu mchumba Hajapenda sebule na chumba Mtutu si uvumba Nampenda na bure na dunda Anafikisha meli na inashuka Bandari ooh, bandari ooh Hiki kinesi kimedunda dunda Shangari ooh, shangari ooh Nakufaga nusu kabuti Bendera hufuata upepo Nashukaga ka parachuti Afande nikitoka depo Anamwaga na kumimina, anachekecha Ka mzizi shina, anapekecha Mkate wa kumimina, anachekecha Kama maji kwenye kisima, anachekecha Yaani moja wima, anapekecha Mzima mzima, anachekecha Yaani kanipa uji Na sio mchina Anachekecha, anachekecha Na mi namcheketua Anachekecha (mama) Kipa na matede Anachekecha, anachekecha Na mi namcheketua Anachekecha (ooh) Yaani kanipa uji Na mapeni nishavuja wino Siandiki tena na Uchafu katupa kwa shimo Na mate katema ma Akipanda akidandia Sijisomi Akivuna napalilia Mwandani Anavyonidekeza toto Namliwaza dodo Anavyonipendeza koko Aii weee Anamwaga na kumimina, anachekecha Ka mzizi shina, anapekecha Mkate wa kumimina, anachekecha Kama maji kwenye kisima, anachekecha Yaani moja wima, anapekecha Mzima mzima, anachekecha Yaani kanipa uji Na sio mchina Anachekecha, anachekecha Na mi namcheketua Anachekecha (mama) Kipa na matede Anachekecha, anachekecha Na mi namcheketua Anachekecha (ooh) Yaani kanipa uji Na sio mchina Anachekecha, anachekecha Na mi namcheketua Anachekecha (mama)

Lulu Diva의 다른 곡

Lulu Diva →

관련 가사