Sikuachi
SW

Sikuachi 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수97
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Tuturu-tututuru Tuturu-tututuru Tuturu-tututuruuu (Sound boy) Napenda ivyo vidimple ohh Na zuri lako tabasamu Kwanza uko simple ohh Kuwa nawe siishi hamu Yametimia maandiko baby Penzi letu sio haramu Navimba nimepata jikoo Mwenzenu nalishwa vitamu Unapendeza ukilala Nzuri yako color Sifa kwa mama alo kuzaa Mungu anahumba eeh Nawe umeumbika aaah Mi' nakuahidi nitazikwa na wewe Unanifariji mama, nikiwa nauzuni Tena niahidi (aanh) utazikwa na mimi (maa ah) Tena unifariji mama (aanh) kwenye shida na raha zote baby Sikuachi Acha iwaume roho Sikuachi Acha iwaume roho (acha iwaume roho) Hmm mm Kwanza naanzaje? Kukuacha wewe baby naanzaje? Nambie, naanzaje? Kuwa mbali nawe baby naanzaje? Wewe ni tabibu n'kiwa nawe napona Sipepesi macho naona Baby baby naona Nakesha ka' popo kisa kulilinda penzi langu Na, ulipo nipo labda wachukue roho yangu Najua watanuna (hmm) na hili litawachoma (hmm) Ila bado watatuona, honey honey honey wee Mi' nakuahidi nitazikwa na wewe Unanifariji mama, nikiwa nauzuni we Tena niahidi (aanh) utazikwa na mimi (maa ah) Njoo unifariji mama (aanh) kwenye shida na raha zote honey we Sikuachi (no siondoki kwako mmh) Acha iwaume roho (baby mimi chizi wako nah nah) Sikuachi (baby sikuachi mazima) Acha iwaume roho (yiih mm)

Macvoice의 다른 곡

Macvoice →

관련 가사