Yalah
SW

Yalah 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수62
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
(Ayolizer) Nimesadiki ya wahenga Penzi lina raha yake Mzigo kwa tenga Imfaacho mtu chake Denge nimekatwa ngenga Ah umate mate Najinyenga nyenga Mao mao maotate Huwaga sioni Ninavyoipanda milima Ulimi sikioni Mwili wote wanizizima Mwenzenu sioni Macho mawili yote sina Tunaanza jikoni Mpaka varandani twalilima Yalah! Yalah yalah, yalah yalah Oooh yalah yalah yalah yalah Penzi limenizidia, yalah yalah Ni kubwa, yalah yalah Zito, yalah yalah, yalah yalah Tungezaliwa zamani Ningesema penzi toga Tulinywe kibarazani Tukitafuna maboga Nimekipanda uani Kibustani cha uyoga Tukishiba biryani Baby tule mboga mboga Sasa polisi wa nini? Nikikosa nikamate wewe Mahakama ya nini? Nikikosa nihukumu wewe Penzi chupa la balindi Tuligide baby hadi tulewe Videge shorwe vya nini? Kifaranga we nibеbe mwewe Huwaga sioni Ninavyoipanda milima Ulimi sikioni Mwili wotе wanizizima Mwenzenu sioni Macho mawili yote sina Tunaanza jikoni Mpaka varandani twalilima Yalah! Yalah yalah (yalah yalah) yalah yalah (Yalah yalah) yalah yalah yalah yalah Penzi limenizidia, yalah yalah Ni kubwa, yalah yalah Zito, yalah yalah, yalah yalah

Mbosso의 다른 곡

Mbosso →

관련 가사