Maombi
SW

Maombi 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수12
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Nadia Hoyah hoyah hoyah Hoyah hoyah hoyah Nilichopata nikiomba walisema kitakwisha Nikitoa shukrani hadharani wakasema najigamba Hao binadamu walinipa wiki Sasa imepita miaka bado wanasubiri Kazi ya Mungu haina makosa Ingekuwa binadamu anatoa ningekosa Sio juju ni maombi, ni maombi Si kelele ni maombi, ni maombi Sio juju ni maombi, ni maombi Si kelele ni maombi, ni maombi Hoya hoya hoyaah Hoya hoya hoyaah Hoya hoya hoyaah Na mikono nitainua, magoti nipige Nimweleze jinsi alivyotenda katika Maisha yangu Kazi ya Mungu haina makosa Ingekuwa binadamu anatoa ningekosa Sio juju ni maombi, ni maombi Si kelele ni maombi, ni maombi Sio juju ni maombi, ni maombi Si kelele ni maombi, ni maombi Hoya hoya hoyaah Hoya hoya hoyaah Hoya hoya hoyaah Maneno ya wanadamu, yalinilenga kama mishalee Ila Mungu hawezi kubali uangukee Alichoanzisha leo, lazima atakamilisha weeh Kazi ya Mungu haina makosa Ingekuwa binadamu anatoa ningekosa Sio juju ni maombi, ni maombi Si kelele ni maombi, ni maombi Sio juju ni maombi, ni maombi Si kelele ni maombi, ni maombi Si uchawii weeh Si ulevii eeh Si kwa nguvu zangu miee Si KaNadia katambee

Nadia Mukami의 다른 곡

Nadia Mukami →

관련 가사