Na Nusu
SW

Na Nusu 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수6
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Yogo on the beats (The African Princess) Shii! Akichekecha nacheketua naye Bandua bwesa ninakesha naye Bingwa wa mitindo sio foreigner Dereva sio ulingo Inashika antenna oyee Ashanasa ulimbo, ulimbo Sibanduki ng'o Mi naye ngoma draw oyee Nakesha lindo, lindo Macho kwenye show Kuchakachua no, oyee Kaninogea (ooh inama inama) Koleza na kuni moto chochea (ooh inama inama) Akipiga kick inatembea (ooh inama inama) Za ki China China za ki Korea (ooh inama inama) Akipiga kick! Napunga kipopo kapaa kabana Nauminileva kama banana Nikiguza kitufe mambo mwanana Ulipopita we mbali we umeshona Baiko baikoko Kibao kata kanga moko Chikigiriki kimoko Nachora eeeh Nimeshanasa ulimbo, ulimbo Sibanduki ng'o Mi naye ngoma draw oyee Nakesha lindo, lindo Macho kwenye show Kuchekechua no, oyee Kaninogea (ooh inama inama) Koleza na kuni moto chochea (ooh inama inama) Akipiga kick inatembea (ooh inama inama) Za ki China China za ki Korea (ooh inama inama) Akipiga kick (na nusu) Na nusu Na nusu

Nandy의 다른 곡

Nandy →

관련 가사