Ninyemelee
SW

Ninyemelee 가사

장르Afrobeats
원문 언어SW
조회수2
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Unanipa amani Na ndio maana mwingine mi simuoni Umeniteka amini Yaani shoka moja mguu chini Kiwanjani unavyoyamudu Makeke ndimbani ninakuhusudu Ndani ndani unavyonitibu My beiby jamani usiniadhibu Ninyemelee ninyemelee Hebu ninyemelee Nidondoshe dondoshe Beiby nidondoshee Nisogelee sogelee Hebu nisogelee Nipepelee pepelee Joto unipepelee I wanna be your valentine beiby Valentine I wanna be your valentine beiby Nikupe zawadi kedekede Lemmi be your valentine beiby Valentine beiby Lemmi be your valentine beiby Unipe zawadi Nawaza kwanini nimechelewa kukujua Maana raha zote napata kwako Yaani bado upo na mimi Kwenye kivuli kwenye mvua Hata kama hali tete mimi ni wako aah Ukinishika huku sihemi Ukinigusa hapa sisemi Na nikitafuna sitemi I love you, I love you Ukinishika huku sihemi Ukinigusa hapa sisemi Na nikitafuna sitemi I love you, I love you Ninyemelee ninyemelee Hebu ninyemelee Nidondoshe dondoshe Beiby nidondoshee Nisogelee sogelee Hebu nisogelee Nipepelee pepelee Joto unipepelee I wanna be your valentine beiby Valentine I wanna be your valentine beiby Nikupe zawadi kedekede Lemmi be your valentine beiby Valentine beiby Lemmi be your valentine beiby Unipe zawadi Hebu nisogelee Joto unipepelee

Nini Tanzania의 다른 곡

Nini Tanzania →

관련 가사