Chocolate
SW

Chocolate 가사

장르Hip Hop Rap
원문 언어SW
조회수8
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Downtown baby Mr. Paul Labda nianze kusema vile ninavyohisi juu yako Mizani haiwezi kupima uzito wa penzi langu juu yako Natamani nitoe moyo nje niukabidhi mkono wako Sidhani kama nitaweza kuishi bila ya penzi lako Elewa mama ninavyosema Wasijesema nakupiga (Longolongo) Elewa mama ninavyosema Wasijesema nakupiga (Longolongo) Nikama chocolate Ama vanilla Ulivyomuhimu katika ice-cream Nikama maji Ama chakula Ulivyomuhimu maishani mwangu Nikama chocolate Ama vanilla Ulivyomuhimu katika ice-cream Nikama maji Ama chakula Ulivyomuhimu maishani mwangu Jioni ifikapo giza litandapo We ndio nuru yangu Niwapo mfungwa ndani ya fikra tele We ndio uhuru wangu Sidhani kama atakuja mwingine Kuteka moyo wangu Nadhani uliletwa duniani Maalum kwa ajili yangu Elewa mama ninavyosema Wasijesema nakupiga (Longolongo) Elewa mama ninavyosema Wasijesema nakupiga (Longolongo) Nikama chocolate Ama vanilla Ulivyomuhimu katika ice-cream Nikama maji Ama chakula Ulivyomuhimu maishani mwangu Nikama chocolate Ama vanilla Ulivyomuhimu katika ice-cream Nikama maji Ama chakula Ulivyomuhimu maishani mwangu Nuru ya huruwa Jose mtambo naingia moyoni mwangu Nyota yenye effects flani Bongo za flava kibao Mi amore vena na keep mami Night anasema big popi Tena kutwa tunamegana Sio leo tu mpaka menyana D anashanga El anashanga Mi ndio kabisa na bong'a Chocolate kuwa kama plate ya wali atasitoshek We ni vanilla So sweet ninakula Mi nkang'ani wa mbuzi mpera Hypnotise me shortie Ruka big guy I'm ballin True dat I'm tryna score Yes ma ni mi na Paul Mama tuliza ball Barbra meneja zoe Elewa mama ninavyosema Wasijesema nakupiga (Longolongo) Elewa mama ninavyosema Wasijesema nakupiga (Longolongo) Na kupenda baby Na kupenda baby Na kupenda Na kupenda baby Yeah Wooh

관련 가사