CCM Tetema
SW

CCM Tetema 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수3
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Ona wanatetema ooh wanatetema Wapinzani tetema ooh wanatetema Ona wanatetema ooh wanatetema Vichwa chini tetema ooh wanatetema Te Tetema, magufuli jembe haogopi Tetema, tena ni mkweli haongopi Tetema, mafisadi kawanyima noti Tetema, anajenga nchi na hachoki Nyumbani kumenoga, ooh mama Wapinzani wamedoda, ooh mama CCM namba moja, ooh mama Wale wengine watangoja wakilia Aah, ai mama shigidi aah Nakufa hoi wikidi aah Ai mama shigidi konki Fire moto, liquidi Ona wanatetema ooh wanatetema Wapinzani tetema ooh wanatetema Ona wanatetema ooh wanatetema Vichwa chini tetema ooh wanatetema Ona wanatetema ooh wanatetema Wapinzani tetema ooh wanatetema Ona wanatetema ooh wanatetema Vichwa chini tetema ooh wanatetema Tetema, ndege flyover kazileta Tetema, shule zote bure tunapeta Tetema, afya na viwanda kaboresha Tetema, magufuli nchi anapendezesha Ongoza chomoza we ni bulldozer Chuma mi nakuita jembe Wakichokoza, chokoza, wizi utawaponza Tumbua wapige nyembe, Brrokey Ona wale wamelala doro Doro, doro Ati wanatafuta kasoro Soro, soro Washa, zahanati kijiji jiji Washa, mwendo kasi kwenye jiji jiji Washa, rufiji jiji Washa, magufuli ndo biggy biggy Teete ooh wanatetema Wapinzani tetema ooh wanatetema Ona wanatetema ooh wanatetema Vichwa chini tetema ooh wanatetema Ona wanatetema ooh wanatetema Wapinzani tetema ooh wanatetema Ona wanatetema ooh wanatetema Vichwa chini tetema ooh wanatetema Kichaa kime, kime, kimewapanda Wamewehuka, Kime, kime kimewapanda Kawapandisha mizuka Kichaa kime, kime, kimewapanda Ona wanaruka ruka, kime, kimewapanda Kichaa kime, kime, kimewapanda Kapanda juu ya meza kime, kimewapanda Hadi wanavua shati Kichaa kime, kime, kimewapanda Hawatatuweza, kime, kimewapanda Na hawatupati (Wasafi)

Rayvanny의 다른 곡

Rayvanny →

관련 가사