CCM Wayaaa!
SW

CCM Wayaaa! 가사

장르Pop
원문 언어SW
조회수3
Aa읽기 설정
글자 크기 18

원문 가사

SW
번역이 아직 없습니다. 원문 가사를 표시합니다.
Wayaa, wayaa Wayaa Kama kapiga kichuya Wayaa Kama kafunga Messi Wayaa Kama kapiga Msuva Wayaa Kama kafunga Ronaldo Magufuli kapiga kachapa Wayaa Wapinzani wameshindwa kudaka Wayaa Kwenye chama karudi Lowasa Wayaa Tunawafunga kama Samata Wayaa Kipondo kipondo Lazima tuchukue ndoo Tunavyowapa kipondo Kama Barcelona kacheza ndondoo Kipondo kipondo Lazima tuchukue ndoo Tunavyowapa kipondo Kama Barcelona kacheza ndondoo Barabara kama mbele Wayaa Kacheza kama Pele Wayaa Tena reggea zipo tele Wayaa Shule bure bila kwere Wayaa Kwenye afya kilimo asante Wayaa Umecheza kama Ngolo Kante Wayaa Standard gauge mwendo kasi mwake Wayaa Umetisha kama Mbape Kipondo kipondo Lazima tuchukue ndoo Tunavyowapa kipondo Kama Manchester kacheza ndondoo Kipondo kipondo Lazima tuchukue ndoo Tunavyowapa kipondo Kama Arsenali kacheza ndondoo Wamebana wameachia Samia, Suluhu kapiga shuti mbele Wamebana wameachia Kassim Majaliwa kama ameandika gere Wamebana wameachia Dr Sheni kawakaba shingoni Wamebana wameachia Mwake amepanda mpira kama Morrison Pole pole anapiga shuti Wayaa Mangula anapiga shuti Wayaa Mangwala anapiga shuti Wayaa Makonda anapiga shuti Wigulu chemba anapiga shuti Wayaa Majaliwa anapiga shuti Wayaa Mama Samia anapiga shuti Magufuli anapiga shuti Wayaa Kona goli, eeh Kona goli, eeh Kona goli, eeh Kona goli, eeh

Rayvanny의 다른 곡

Rayvanny →

관련 가사